Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ze Komedy mpya EATV ilikuwaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AmaniKatoshi, Sep 25, 2010.

 1. A

  AmaniKatoshi Senior Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wajameni, salamu na amani kwenu.

  Napenda kuuuliza taarifa za ze komedi mpya ya EATV kama ilirushwa njuzi alhamisi walivyoahidi na je, ilikuwaje?

  Asanteni, na weekend njema.
   
 2. T

  Teko Senior Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 3, 2010
  Messages: 189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hawakuwa na chochote cha kuchesha! komedi inayochekesha kwa sasa ni futuhi tu!
   
 3. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,604
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Ila Orijino komedi ya T-CCM-BC walinifurahisha kwa kile kipengele cha kuwaiga Ma-presenta wa Aiiitiviiii... Lile neno "Kumradhi"
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,227
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Binafsi nilicheka sana hasa yule bwana alipokuwa akiigiza sauti ya kichaga. Hata ze comedy nao sasa wanaenda vizuri
   
 5. M

  Mswahela Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawana kitu. Amebakia Bambo na vichekesho vyake vya kijingajinga
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 28,060
  Likes Received: 6,948
  Trophy Points: 280
  alinichekesha kikwete kwa kuahidi bajaj 400 za kubeba wajawazito wilayani chunya mkoani mbeya
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Vichekesho vya siku hizi bwana ni kichekesho tu, matusi na mambo ya aibu tu! Bora umwangalie Churchill wa jirani zzetu!
   
 8. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 453
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kazi ipo.
   
 9. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 927
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Comedians wa EATV wanatakiwa kufanya kazi ya ziada, Juzi hawakuwa na mvuto kabisa!
   
Loading...