Hatimae embassy & agip hotel zauzwa

Hatimae embassy & agip hotel zauzwa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,787
Reaction score
37,992
Hatimae zile hotel zilizoipasua kichwa serikali za EMBASSY na AGIP hotel sasa zimeuzwa rasmi
Habari za kutoka kwenye chanzo zinasema zote zimeuzwa kwa mtu mmoja
na ujenzi wa ukarabati umeanza na muda si mrefu zitanza kazi...............

Killa la kheri EMBASSY HOTEL maana mpaka sasa jumba lile kupitia ngono mbofu usiku limeshazalisha
zaiidi ya watoto 20
 
Chanzo cha taarifa hii ni kipi tafadhali?
 
Back
Top Bottom