Wanachama wa chadema kumbukeni hili litawasaidia wakati wa uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanachama wa chadema kumbukeni hili litawasaidia wakati wa uchaguzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by upele, Sep 27, 2010.

 1. upele

  upele JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PLS WANA JF NA WANACHADEMA NA CUF KUMBUKENI KUCHUKUA HATA CHUPA YA MAJI SAFI NA KITAMBAA ILI MAADUE ZENU WANA MPANGO WA KUPIGA MABOMU YA MACHOZI NA MENGINE YENYE SUMU ILI MULALE WAWEZE KUFANYA MAMBO YAO AMINI MUSIAMINI MWANA HUU TUTAJIONEA MENGI KWANI VIJANA WAPO KTK COURSE MZITO YA KUFANINISHA USHINDI WA CCM.PIA INABIDI MUFAHAMIANE WENYEWE KWANI WATAVAA SARE ZA WAPINZANI ILI WAONEKANE NDIO CHANZO CHA VURUGU,
  NIPENI MAWASILIANO YA ZITTO NA DR.SLAA AND LIPUMBA ILI NIWEZE KUWAJUZA KILE NILICHONACHO JUU YAO NI MKEREKETWA KAMA CHE GUEVARA.:A S-danger:
  cONQUEST-DAMU LAZIMA NA USHINDI LAZIMA-CCM VOICE.
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Inawezekana ikawa ni kweli maana hawa jamaa na kauli mbiu yao ya ushindi lazima, mwaka huu huenda mambo kama ya Kenya yakatokea na hapa kwetu.
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tanzania itakombolewa na wenye moyo.
   
Loading...