Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,833
- 155,780
Jahanam ni mahali panapotajwa kuwa pana moto uwakao masaa 24.
Je nini asili ya neno hili?
Nimejaribu kulipekenyua kutoka kwenye vyanzo mbalimbali lakini sijaona asili yake.
Ila kuna andiko nlisha wahi kulisoma likisema kuwa jehanum ilikuwepo zamani za kale, lilikuwa ni eneo linalochomwa takataka na lilikuwa likinuka.
Kwa hiyo vitabu vitakatifu vilipafanya eneo hilo kama eneo la utisho kwa waovu.
Je wewe wajua nini kuhusiana na jehunum?