Break Down a.k.a FISI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Break Down a.k.a FISI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Sep 24, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Magari haya kwa kweli ni mabovu.
  Yote yanamilikiwa na askari Polisi,
  hayana bima hai, Road licence zimeisha, hayana taa za nyuma za break, parki wala hendiketa.
  Yakija kukukokota wanatoza ada kubwa sana na wanaharibu gari yako.
  Watendaji wake ni wezi, wanakwapua vitu vinavyong'oka kirahisi kwenye gari.
  Hawa jamaa hawafai na ni hatari sana.
  break-down[1].jpg
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  FISI LIMEMEZA SHANGINGI.
  [​IMG]
   
 3. M

  Makanyagio Senior Member

  #3
  Sep 24, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mimi nazani hawa si watu ila ni mafisi kama uvyosema. iko haja ya kung'oa fisi mmoja meno ukimkuta anaburuza mashine kama hiyo. Hapo kuna uweza kano wa kuuwa sterling lock na tairi za mbele kama unvyoona zinalazimishwa. Tairi moja ya hiyo cruiser na nne za huo mwarubainin unaovuta. Walishaigwa marufuku lakini.
   
 4. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hakyamungu sijui wanaangalia sura hawa!!!! Siku nikikuta wanakokota gari yangu hvo wallah watakojoa dagaa! naanza na huyo mgambo aliyening'inia hapo nyuma......kabla sijaliwasha moto hilo mwarobaini! Kama nimevunja sheria niandikie "ticket" ntalipa faini, lakini gari yangu usiguse kabisaaa!:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:, :mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2::mad2:
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  Lakini bado wanadunda na ndio wakokotaji wakubwa wa jiji hili la Dar es Salaam.
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ila mimi nadhani huyu amepata breakdown gari inapelekwa garage kwa mtindo wa mbuzi kagoma kwenda!!
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Unajua hawa jamaa huu ni mradi. Baada ya kuona hawapati magari mabovu wakabuni mbinu ya kuchukua magari yaliyo park vibaya. Wanachofanya ni kulivutia central kama upo city centre au kituo chochote cha polisi, ukifika huko wanakuandikia bill ya break down ulipie then wanakuja kwenye kosa napo fine.

  Hizi ni loopholes zinazotumiwa na hawa manyang'au wa trafiki, hawaangalii usalama wa barabarani bali wanaangalia pesa. Haya ni matokeo ya serikali corrupt, kila mtua anatumia nafasi ya kufanya kitakachodfanyika ili mradi tu wawatoe chochote raia wema.
   
 8. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Laana kali ziwafikie matrafiki wote wadhulumaji wa haki popote pale walipo.
   
 9. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,427
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  ngoja niwachekeshe juzi juzi gari yangu ilipita ajali inatembea ikafika magomeni;;******* mmoja akasema kesi imeandikwa illala nikamwambia poa niende akasema hapana mpaka kesho nimefika asbh akadai nasubiri hizo takataka kuja kubeba gari yangu nkamwambia wat??kwa kuwa aitembei ama akasema ni sheria uwezi kuendesha..nikamfwata bosi wake nika,weleza akasema niitie akaenda akamwambia araka sana nenda na huyo kijana na tena baada ya kumpigia ma uncle central akasema kituo gani akaongea na jamaa...ni pumbafu watupu kuanzia bosi wao mpaka mwisho
   
Loading...