Catholic church child sex scandal hits Brazil as priest, 83, is arrested over alter boy abuse allegations
Last updated at 4:28 PM on 20th April 2010
Pope Benedict leads the funeral...
MMOMONYOKO wa maadili unaelekea kuiathiri jamii ambapo sasa baadhi ya viongozi wa dini wanazidi kuingia matatani kutokana na kushiriki katika vitendo vya ngono.
Mchungaji wa kanisa la African...
Far more people in India have access to a mobile phone than to a toilet, according to a UN study on sanitation.
India's mobile subscribers totalled 563.73 million at the last count, enough to...
Kwa mujibu wa BBC nchi ya misri imedai kutumia maji ya mto nile ni haki yake na haiwezi kuruhusu haki hiyo ipokonywe na nchi kama Kenya, Tanzania na Ethiopia ambapo mto huo una vyanzo vyake...
WABUNGE wametaka raia wa Kenya na Uganda walioajiriwa katika sekta mbalimbali nchini, kabla ya kuanza kwa Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki, warudishwe makwao.
Pia...
Hili zoezi la kuichangia CCM bado halijaniingia akilini vizuri.
Hawa jamaa ndo wamekuwepo madarakani tangia tunapata uhuru. Wametuibia kwa dizaini zote yaani hata makovu ya Richmond, mikataaba...
Wadau, hivyi yule jamaa aliyeenda India kufanyiwa upasuaji baada ya kutumia madawa ya kichina na kusababisha uume wake kuwa mkubwa na hata kukimbiwa na mke wake amesharudi?
Jeh! mtalimbo...
Wadau, nilikuwa nasikiliza BBC Swahili leo asubuhi na ndipo ilipokuja habari kuhusu adhabu ya kifo kwa upande wa nchi yetu. Takwimu zinaonesha kuwa kipindi cha awamu ya kwanza na ya pili...
Wadau, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu.
Nachukuwa nafasi hii kueleza kile kinachonishangaza. Hivyi karibuni kiwanda cha Coka kupitia vinywaji vyake walitangaza zawadi mbalimbali...
420, 4:20 or 4/20 (pronounced four-twenty) refers to consumption of cannabis and, by extension, a way to identify oneself with cannabis drug subculture.[1][2]
The term originated from a group...
TATIZO la ajira nchini limeendelea kuongezeka na kusababisha maelfu ya Watanzania kugombea nafasi za kazi chache zinazotangazwa sasa hivi kwenye mashirika mbalimbali.
Miongoni mwa eneo ambalo...
Wadau, kutokana na kushamiri kwa makanisa mengi hapa nchini na hata mengine kuongozwa na wachungaji (wanavyojipachika vyeo) ambao hawajaoa ili hali wao ndiyo wakubwa wa makanisa hayo.
Jeh! Ni...
Hawa Learned Proffession:
nakwazika sana mnapotumia kiingereza mahakamani na upande mwingine masikini ya Mungu mtanzania mwenzio hata hajui unaongelea nini!!! (na anajiwakilisha mwenyewe)
sijui...
Should African religions be preserved?
Traditional African religions are still alive and well in Africa, says a survey done by the American research organisation, Pew Research...
Tunayakosa maoni yenu na mawazo yenu; nikiangalia maoni yanayotolewa mara kwa mara na wale ambao tumo humu siku nyingi ni wazi kuwa sehemu kubwa ya watumiaji hawajajiunga na ni watazamaji tu...
Meat Market
The predominant tourist in Zanzibar seems to be the Italian. I have no idea why there are so many Italian tourists in Zanzibar but they are everywhere and boy, do they...
Utapeli Kwa Njia ya SMS Tuwe Makini
Ndugu zangu kuna watu wameanza kulalamika kwamba wanapata ujumbe kwenye simu zao za mikono kutakiwa kuchangia vyama kadhaa vya kisiasa nchini , nilipopata...
Hatimaye klabu za Simba na Yanga, jana zilicheza mechi yao ya kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Uhuru.
Ni imani yetu kwamba baada ya mechi hiyo, walau tambo...
Nasikia Kesho unasomwa mswada mpya wa Madini Bungeni -- na utasomwa mara tatu ndani ya Mkutano huu wa 19 wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania -- na kupitishwa. Mwenye taarifa zaidi na...