Kwa nini lakini kampuni ya Coka Cola...!!!?

Mchapaji

Member
Mar 22, 2010
26
1
Wadau, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu.
Nachukuwa nafasi hii kueleza kile kinachonishangaza. Hivyi karibuni kiwanda cha Coka kupitia vinywaji vyake walitangaza zawadi mbalimbali za kujishindia pale utakapotumia moja ya vinywaji vyake...
Cha ajabu namalizia kreti ya tatu hapa nyumbani kwangu na hakuna dalili hata ya Soda ya bure...
Jeh! watu hawa wana-share faida na wateja wao kama ilivyo maana ya promotion hiyo au wanazidi kujiongezea faida wao wenyewe?
 
ha ha ha...pole sana ndugu...unataka kukwea pipa?..ni kweli soda za bure zipo ila hizo ticket ndio najiuliza kama zipo kweli...lakini usife moyo...kunywa soda za kutosha
 
Back
Top Bottom