Uume wa dawa za kichina

Uume wa dawa za kichina

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
443
Reaction score
18
Wadau, hivyi yule jamaa aliyeenda India kufanyiwa upasuaji baada ya kutumia madawa ya kichina na kusababisha uume wake kuwa mkubwa na hata kukimbiwa na mke wake amesharudi?

Jeh! mtalimbo umerudia hali ya kawaida, au?
 
Angeenda hukohuko China kutibiwa...
Otherwise mi sijui kama asharudi, lakn nadhani anajuuuta kununua hizo dawa!
 
Swali kuwa mtalimbo umerudia ktk hali yake labda tumtafute mkewe atujibu.
 
Ha ha haaaaaaaaaaa! Mke c walitengana jamani? Alishindwa ligwaride...
 
Angeenda hukohuko China kutibiwa...
Otherwise mi sijui kama asharudi, lakn nadhani anajuuuta kununua hizo dawa!

PJ kweli usemayo alitakiwa kupelekwa huko huko China
Ila hawa wachina kweli vimeo
 
Waache wajifunze kutokana na makosa.
Mwili wa mwanadamu hauna genuine spare...
Spare zake zote feki.
Wanaoifanyia majaribio miili yao waache walie kilio cha mbwa koko
 
Mh! Mi niliskia kuwa amerudi lakini saizi imepungua kidogo haijawa kama ilivyokuwa origino(kabla ya kutumia mchina)
 
kawaulize GPL
Wadau, hivyi yule jamaa aliyeenda India kufanyiwa upasuaji baada ya kutumia madawa ya kichina na kusababisha uume wake kuwa mkubwa na hata kukimbiwa na mke wake amesharudi?

Jeh! mtalimbo umerudia hali ya kawaida, au?
 
india amekosea angeenda china kazi rahisi tu kwani revesi yake wanayo
 
Back
Top Bottom