Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je! Rasilimali (madini,wanyama,bahari,mito,maporoko,misitu,vipepeo,milima,mabonde) Tanzania vinasimamiwa ipasavyo? mimi ninafikiri vingesimamiwa vizuri, masomo vyuo vikuu yangekuwa bure! Thanx
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye taarifa, au mwenye uwezo wa kutusaidia, asubuhi ya leo, Jumapili, Oktoba 3, 2010, kwenye eneo la maegesho ya magari nje ya Kigango cha Mt. Thomas Moore, Ally Sykes Close, Mbezi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kunjane Bantwana! Can somebody help me on how can I enter/access to our Chat room? I advance my thanks:A S 465:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna habari zimetangazwa na Redio one kuwa Jengo la Quality Plaza (nyerere Road) linaungua, kwa wale waloko eneo la tukio tunaomba mtuhabarishe. Mod Naomba uihamishe hii baada ya 2 hours
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Toleo la leo ukurasa wa nne (Editorial/Analysis) wamekomalia tena suala ya mke wa Dr.Slaa kupitia Correspondent Msemakweli Sadiki(nadhani hii ni alias)....papa nae katuhumiwa pia....nachoka na...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wanamaombi muombeeni mgombea ubunge wa S'wanga mjini(CCM). Ndugu Aeshi Khalfan Huyu jamaa amekua akimwaga fedha kwa wananchi ili wamchague katika uchaguz wa oct31. Anatumia fedha kuficha level...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nimemkumbuka sana Braza Ukiwaona Ditopile Mwinshehe wa Mzuzuri....laiti angekuwepo wakati huu wa kampeni...tungepata burdani sana....sio hizi kamba na vinana
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ni katuni katika Gazeti la Mwananchi Jumapili, Julai 12, 2009. likikuwa na picha hii. Ni maoni yako?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Msaidizi wa askofu, RC wakemea udini. Monday, 04 October 2010 06:34 Na Waandishi Wetu, Bukoba ZIKIWA zimebaki siku 27 kabla ya Watanzania kuwachagua wawakilishi wao kuanzia ngazi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zebra Finch... Patterned feathers, previously thought to be used only for camouflage in birds, can play an important role in attracting a mate and fending off rivals, a University of Melbourne...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani tuwe makini hii rushwa tunayo ipewa huku mijini tuurumie na wakazi wa mkalama moshi- hai ambao wanateswa na muwekezaji ambaye alidiriki kuwafungia daraja lao la kuvuka ambao ndiyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Leo katika kipindi cha power breakfast kinachorushwa na redio ya clouds walimualika meneja wa mawasiliano wa bandari ndugu Mzirai ili kuongelea suala la magari yanayokwepa kodi kwa njia ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wadau habari za leo nna shida ya kutaka kufahamu kuhusu namna TRA wanavocharge ushuru wa magari toka japan hasa yale yaliyozidi miaka kumi tangu tengenezwe yaani uchakavu unachajiwaje,kuna fomula...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wenzangu ninatafuta suluhisho. sisi tuko huku ugenini pekee yetu, mzazi peke yake nyumbani africa. kaka kapoteza kazi lay off. miezi minne sasa ameishi na mimi. ameishiwa heli, gari...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
*Ofisi ya Mwanasheria wa PPF na Mkurugenzi zavunjwa *Nyaraka za siri zadaiwa kuibwa Baadhi ya wafanyakazi wa jengo la PPF lililopo barabara ya Morogoro na Samora wakiwa nje ya jengo hilo leo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumetokea mauaji ya Kiongozi wa Walinzi katika jengo la PPF House Samora. Mauaji haya yanakisiwa kutokea usiku wa kuamkia leo J3. Hakuna taarifa za kuaminika juu ya kusudio na wahusika wa mauaji...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Swali langu kwa wana jf wajuvi wa sheria ni kwamba sheria ya ndoa inatambua wahusika wawili tu, na kama endapo mmoja atakiuka mfano kwenda nje ya ndoa au kumkataa mwenzie bila sababu za kimsingi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
XSMAS IS AROUND THE CORNER NA BILA KUSAHAU MEEE MEEE
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yule mwanasiasa machachari anayegombea ubunge wa jimbo la rombo kwa tkt ya chadema amevunjika mkono (mara 3) na sasa anapata huduma pale kcmc
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tunasikitika kutangaza kifo cha Mchungaji Matiku Thomas Nyitambi kilichotokea leo huko Tarime musoma kwa ajali ya gari .Marehemu alikuwa anasafiri na Mkewe ambaye amepata majerahaa '' Mungu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom