Muswada wa sheria mpya ya Madini

Muswada wa sheria mpya ya Madini

Mgoyangi

Senior Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
184
Reaction score
9
Nasikia Kesho unasomwa mswada mpya wa Madini Bungeni -- na utasomwa mara tatu ndani ya Mkutano huu wa 19 wa Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania -- na kupitishwa. Mwenye taarifa zaidi na nakala ya Muswada wenyewe atumwagie hapa
 
Back
Top Bottom