Subscribers wa jf wenye majina haya wanastahili pongezi

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
Tazama majina yafuatayo then jaribu kutamka:
1Umkhontowesizwe
2 Donyongijape
3Kagumyamuheto
4 Mantuntunu
5 Vakwavwe
6Ngalikivembu
7mbongopopo.
mnaonaje tukichagua jina baya au gumu kuliko yote kwenye hii forum.
 
Hilo namba moja kiboko!mpaka nimeshindwa kulikopi!
 
Kweli humu vitoto vingi. Yaani hawalifahamu neno Umkhontowesizwe??!!!

Nakumbuka miaka ya 90 zilikuwepo hadi nyimbo za Reggae wakiimba hivyo.

Hilo neno na Ukombozi wa SA akina Mandela ni kama Chanda na Pete.

Last edited by a moderator:

bado haliachi kuwa jina adimu na gumu hapa jf!
 
Last edited by a moderator:
Umkhontho we Sizwe (Mkuki wa Taifa/Spear of the Nation) lilikuwa ni jina la kikosi cha kijeshi/kimapinduzi cha ANC chini ya Hayati Chris Hani!
 
Kuna jina jingine kwenye JF. Kuna mdada anaitwa Katerero. Napenda kumfahamu zaidi
 
Tazama majina yafuatayo then jaribu kutamka:
1Umkhontowesizwe
2 Donyongijape
3Kagumyamuheto
4 Mantuntunu
5 Vakwavwe
6Ngalikivembu
7mbongopopo.
mnaonaje tukichagua jina baya au gumu kuliko yote kwenye hii forum.

Ina maana "Wakusaidie"? Just thinking loudly.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom