ofisi za chama cha wapagaji zipo wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ofisi za chama cha wapagaji zipo wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by hsigira, Dec 4, 2010.

 1. h

  hsigira Member

  #1
  Dec 4, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kama kuna yeyote anayejua zilipo ofisi za chama cha wapangaji upanga Dar naomba anielekeze. Au anipe simu yao
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hata mi nina hasira sana na wenye nyumba wakishirikiana na madalali
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ofisi ya wapangaji Dar-es-salaam ipo Magomeni mapipa barabara ya Morogoro.
   
Loading...