Nimesikitishwa sana kusikia kuwa Ndani ya Tumaini University kurasini campas wahadhiri hawaingii madarasani. huu ukiwa ni mradi wa kanisa, je kanisa lina la kutuambia? Je, pesa yetu waliyopokea tena 2,500,000 kwa mwaka ni kwa ajili ya nini? Je, wizara haioni utaratibu wowote wa kuifunga kampasi hiyo?