Basi la dar express lawaka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Basi la dar express lawaka moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by cream.b, Dec 21, 2010.

 1. cream.b

  cream.b Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 17, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi la Dar Express linawaka moto hivi sasa huko Kitumbi abiria watokea madirishani.Na Lori laamguka na kufunga barabara mkoani Pwani.
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!hakuna abiria waliyopoteza maisha?tupe habari zaidi mkuu!!!
   
Loading...