Eti Dar Express limewaka moto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti Dar Express limewaka moto?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eeka Mangi, Dec 21, 2010.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wandugu salamu
  Nimepewa nyepesi kuwa Dar Express litokalo Ar kwenda Dar limewaka moto na kulazimu watu kuruka kwa kupitia madirishani. Mlioko huko tupeni habari kamili. We hope hakuna madhara makubwa kwa abiria.
   
 2. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  huku dar jua tupu moto utoke wapi moto wasubiri ahera huo sio moto waambie hiyo ni kioto
   
 3. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Labda nahitaji miwani ama! Kwani unamaanisha nini ndugu!
   
 4. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Basi la Dar Express linawaka moto hivi sasa huko Kitumbi abiria watokea madirishani.Na Lori laamguka na kufunga barabara mkoani Pwani
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shukrani kwa taarifa mkuu, na pole kwa abiria wote waliopata ajali Mungu awajalie wapone haraka kama majeruhi wapo. Chanzo cha kuwaka kwa basi hilo ni nini?
   
 6. AIZAK

  AIZAK Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inasikitisha sana mwisho wa mwaka tuweni makini mungu awabariki wote.
   
 7. A

  Atukuzwe Member

  #7
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwisho wa mwaka tuwe makini barabarani
   
Loading...