Mazoea ya kutumia mlango wa nyuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazoea ya kutumia mlango wa nyuma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Afrika Furaha, Dec 21, 2010.

 1. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana JF, kipindi hiki cha sikukuu watu wanatembeleana sana majumbani. Ktk nyingi nimejionea kitu kimoja kikubwa. Utakuta nyumba ina mlango wa mbele, ambao kimsingi ukiingia hapo utaanza kuingia sitting room. Pia kuna mlango wa pili ambao ukiingia unaanza kuona jikoni. Sasa kuna nyumba ambazo hazitumii kabisa mlango wa mbele, hata waje wageni wa wapi, na hata ukiingia ndani unaweza kukuta wameweka kochi mlangoni kwa ndani. Badala yake watu huingia ndani kwa kupitia uani au jikoni . . . sasa sijaelewa kwa nini kuna mazoea haya??
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mwe!
  Du! na mimi nataka nianzishe thread yangu juu ya makopo ya chooni.
  Kwanini huwa yanakaa sana bila kubadilishwa? sasa sijaelewa?
   
 3. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mkuu unakaa uswahilini nini?
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  You are so funny!!! sasa Jaba-Li kauliza tu pole pole, we unamjibu hivi ili iweje jamani? si topic yake na yeye anataka maoni? lolest
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Wewe unapokaribishwa kwenye nyumba za watu unaanza kutafuta kasoro? Strange?
   
 6. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mlango wa nyuma!!!!!!! Mh.??????
   
 7. e

  ejogo JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2010
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kupita mlango wa nyuma yaani!!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha ha
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  huyu sio wa kukaribisha eheeee
   
 10. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #10
  Dec 21, 2010
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Ni mambo ya usalama tu wa kwenye hizo nyumba. Mara nyingi wakubwa wakienda kuchacharika, mahousegirl/boys na watoto shughuli zao nyingi zinakamilishwa kwa kutumia huo mlango wa nyuma. Mlango wa mbele unafungwa kwa muda mrefu kwa vile waliopo wanashinda jikoni au uani/nyuma. Sasa mgeni kama si mwizi, atalazimika kuzunguka huko nyuma, ili wamwone ndio angie ndani. Vinginevyo kama mlango wa mbele ukitumika, halafu wakajisahau ku-lock, mwizi/ tresspasser anaweza kupitia hapo na kuleta tabu zingine.
   
 11. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #11
  Dec 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  naona wa obey itakuwa ngumu kuunganisha lakini mie wa sinza kwa bi nyau meseji delivadi
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Dec 21, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu anzisha hiyo sredi, nami nina kisa kuhusiana na makopo ya chooni
   
 13. l

  limited JF-Expert Member

  #13
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mwe!
  Du! na mimi nataka nianzishe thread yangu juu ya makopo ya chooni.
  Kwanini huwa yanakaa sana bila kubadilishwa? sasa sijaelewa?

  HA HA HA THAT IS FUNNY DUH UMINIMALIZA INAWEZEKANA NI SAWA NA MISWAKI MPAKA UCHAKAE!!!!!!!!!!!!
   
 14. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #14
  Dec 21, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Du!!!!
   
 15. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #15
  Dec 21, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Anachosema ni fact kwani kwako vp????
   
Loading...