Diploma ya sociology wapi?

Diploma ya sociology wapi?

Long'ututi

Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
41
Reaction score
4
Ndugu zangu nina shida kidogo. Mimi nina ndugu yangu anatafuta pa kusoma diploma ya sociology hapa Tz,hivi chuo gani kina kozi hiyo ngazi ya diploma? Tayari yupo kwenye ajira na sharti la ajira yao ni lazima asome sociology ili asifutwe kazi,na matokeo yake ya form six yanaruhusu kusoma diploma si degree.
 
Back
Top Bottom