Wachina Wachina!!!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Hivi hawa wachuuzi wakichina waliojazana mtaa wakongo wakiuza yeboyebo wameingiaje nchini??kwa status hipi??watalii?,wanadiplomasia?,wawekezaji?maexpert??je wamekuja kuwaonyesha machinga jinsi kufanya uchingachina??imagration wapo kikazi au wamepiga mihuri kwenye pass zao zikionyesha wamekuja kutembelea nchi kwa wiki watarudi kwao je kama nihivyo walishawafatilia??je wao hawawajibiki kujua mgeni anayeingia nchini amefata nini na anafanya nini??au wakisha mgongea wanasubiri wakati wakutoka basi??nchii hii kuna uzembe mkubwa wawatendaji!
 
Population ya hawa watu kule kwao ni 1.6 billioni. Wameshaona kwamba sheria zetu za uhamiaji ni sifuri hivyo wanaitana kila kukicha kuja kuvuna kwenye shamba la bibi. Kama hatua madhubuti hazikuchuliwa mapema ili kuwafukuza wale wote wanaofanya biashara zisizostahili kufanywa na wageni hata kama wana visa vya kuwepo nchini na wale ambao wapo nchini kiharamu basi miaka 10 ijayo idadi yao itaongezeka kwa kasi sana na hapo ndiyo tutashindwa kuwadhibiti kabisa.
 
Swala sio kwamba ni Mnani ambaye anauza nini wapi, swala hapa nadhani ni utandawazi.

Swala ni udhaifu kwenye idara ya uhamiaji, utandawazi upo dunia nzima wenzetu nchi nyingine wako makini sana. Kuna raia wa nchi nyingi jirani sio wachina tu mtaa wa kongo. Wachina wanaonekana zaidi kwa sababu ya rangi yao. Kuna wamalawi, wazambia, wamakonde kutoka msumbiji na wengine kutoka Kongo, lakini pointi iko pale pale udhaifu wa uhamiaji.
 
Afadhali ya hao Wa-China wanaojiuzia mi-yeboyebo Mtaa wa Kongo.

Hebu pigia picha wawekezaji toka Africa Kusini kwa jina la Shoprite kuja kuagiza toka nyumbani kwao, kupika na kutuuzia WALI KWA MLENDA pale Kamata walikowatimulia mbali mama zetu kwenye U-Mamantilie wao pale
 
mimi kinachonishangaza Tanzania kuingia Rahisi ila inshu kutoka, mtu anaweza kufuatilia viza hata miaka mitano, lakin daily wageni wanaingia,
 
mimi kinachonishangaza Tanzania kuingia Rahisi ila inshu kutoka, mtu anaweza kufuatilia viza hata miaka mitano, lakin daily wageni wanaingia,
Sera na mentality ni kubabaikia wageni..angaza macho pembeni yako tu utashuhudia.
 
soon no later, the world is going to unite and there will be no more borders and boundaries, its just the matter of time . Wait and see.
therefore dont balme them so much coz even u maybe later migrate to other countries and live as others do.
 
Back
Top Bottom