Diploma ya sociology

Long'ututi

Member
Dec 5, 2010
41
4
Hivi nitapata wapi diploma ya sociology,nina ndugu yangu hana kigezo cha kusoma degree kwa maana ya matokeo yake si mazuri. Chuo kiwe cha hapa hapa Tanzania.
 
Kuna chuo cha ustawi wa jamii kipo maeneo ya Bamaga Dar es salaam.
Pale wanatoa kuanzia certificate na hata hiyo diploma unayohitaji.
Chek with them.
 
yah, ustawi wa jamii wanatoa, ila wana ka-mgogoro kadogo na menejimenti yao ambako kamezuia wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuanza masomo, so itabidi uwavumilie kidogo
 
thnx sana ndugu zangu,yah ya ustawi nilickia kwamba magavana hawajateuliwa.
 
yah, ustawi wa jamii wanatoa, ila wana ka-mgogoro kadogo na menejimenti yao ambako kamezuia wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuanza masomo, so itabidi uwavumilie kidogo

ahaa, kama ni hivyo, cheki njuweni kibaha au eagle wings kariakoo
 
Paleee Hongera,Bamaga/K-Nyama? Wakati wa mgogoro unainga pale hongera baa unapiga vitu kwanza! halafu pale nasikia kuna hollywood hall, utaenjoy sana!
 
Back
Top Bottom