Sugu kuiteka mbeya leo hii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sugu kuiteka mbeya leo hii.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Dec 29, 2010.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna taarifa kuwa polisi mbeya mjini imemruhusu mh j.mbilinyi(sugu) kufanya mkutano wa kuwashukuru wanambeya kwa kumpa ushindi.mkutano utafanyika viwanja vya sido.
  Wanajf mbeya tunaomba updates.
   
 2. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asiishie jukwani tu,awashukuru kwa kutimiza yale aliyoahidi!
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wanajf mbeya vipi maandalizi ya mkutano?
   
 4. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,875
  Trophy Points: 280
  Nilifikiri hiyo Sugu anazungumziwa Malaria Sugu yule mwenye upungufu wa fikra humu.
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Jf mwambie sugu aweke mistari. Sio kunena kwa sauti tu!ana alternative ya kuimba aitumie pia!
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  thubutu!!
  malaria sugu ana uwezo wa kuhutubia mihadhara pale msimbazi.
   
 7. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huu mkutano ni kiini macho.
   
Loading...