Kheri ya ukoloni kuliko wazalendo wezi na wauaji!

kabindi

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
333
120
Nasikitika kusema hivyo lakini kwa sasa sina mbadala wa kauli yenye matumaini! maana kila sekta ni ujinga mtupu! Afya, Siasa! Elimu! maendeleo ya jamii! na mengine mengi! utafikiri hakuna watu walioelimika! UBINAFSI UNALIANGAMIZA TAIFA!
Wakati wa ukoloni walijitahidi kujenga shule bora, huduma za jamii kama Hospitali na maji, viwanda vilikuwa vinafanya kazi! ingawa pesa walipeleka kwao lakini hawakutunyoya kutumaliza!
Eti wakati wa uhuru wasomi wengi, vyuo vingi! viwanda vimekufa, elimu duni, afya duni, chuki inakua kwa kasi! wizi wa rasilimali za nchi unaofanywa na watanzania tena waliopewa jukumu la kuliongoza taifa! UPUUZI!
 
Back
Top Bottom