Viongozi wa cdm hawana kesi ya kujibu,hivyo wameachiwa huru ingawa wataelekea mahakamani nadhani itakuwa SHOW.
Nawasilisha....
Viongozi wa cdm hawana kesi ya kujibu,hivyo wameachiwa huru ingawa wataelekea mahakamani nadhani itakuwa SHOW.
Nawasilisha....
nini adhabu ya kosa hilo?
Nimesikia wamepatika na kosa moja...maandamano bila ruhusa/kibali!Natumaini wana ushahidi wa kutosha kuwashinda mafisadi!
Asante kwa taarifa, kweli ajabu kama hawana kesi ya kujibu.
Sio ajabu remmy hati ya mashtaka ni ya kizushi na haina msingi wowote.wechagiwa kwa unlawfully assembly wkt tayari walisahruhusiwa kufanya mkutano hivo kuthibitisha hayo mashtaka yao ni ngumu sana.ni njama tu za kuangamiza demokrasia ya kweli tanzania.
Ya nini kushtakiwa kipigo kinatosha ili wasirudie tena kukiuka sheria halali za nchi
These guys wanatafuta news hawana lolote
Fanyeni siasa kwenye mikutano si maandamano mna bore watu wengine walio busy na kazi zao ok!