Majambazi (polisi) dhidi ya raia wema arusha

mwalimumpole

Member
Oct 17, 2010
48
0
Watu wanaandamana bila kuleta vurugu, hatima yake wanapigwa mabomu na risasi! Kwanini Polisi wazembe wa Tanzania wasipambane na Majambazi ambayo yanatoa roho za raia wema hasa huko Temboni?
 
Itabidi tuwapeleke kibondo kama kweli wanajua kupambana kwa risasi.Polisi wetu wamezoea kupambana na watu wasio na silaha, wakikutana na majambazi kweli kama ya kibondo wao wenyewe wanasalimisha silaha.
 
Watu wanaandamana bila kuleta vurugu, hatima yake wanapigwa mabomu na risasi! Kwanini Polisi wazembe wa Tanzania wasipambane na Majambazi ambayo yanatoa roho za raia wema hasa huko Temboni?

Hii ni ajabu na kweli.

Walikuwa wanajipitia kimya kimya tu kwa mani na wala hawana fujo wala hawana kuvunja sheria. Wakatokea polisi wakawapiga risasi wawili wakafa?

Hivyo si ndivyo mnavyotaka ieleweke? Au?
 
Back
Top Bottom