Utabiri 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utabiri 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Jan 7, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Sijamsikia mtabiri bigwa Africa mashariki na ya kati, Amerika na ulaya akitoa tamko,,kunani?
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Wamemsachi huko malysia ambako alienda kudanganya wakamshika lkn ni tetesi sina uhakika
   
 3. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usanii una mwisho....Hajiwezi sasa hivi!
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Si unajua jamaa anaprovide ulinzi usioonekana kwa yule jamaa anayesifika kwa FAKE SMILE?
  Naona anasoma uelekeo wa upepo, akikurupuka huko tarajieni miujiza wa mwaka
   
Loading...