Nyumba inauzwa.

Nyumba inauzwa.

GAGL

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2010
Posts
392
Reaction score
400
Nyumba ipo boko, maeneo ya chama. Ina vyumba vitatu ikiwemo masterbedroom, ina public toilet ndani, jiko na store, ina dining room kubwa kabisa, ipo chini ya mita 300 kutoka bagamoyo road. Vyoo vimewekewa tiles na nakshi zingine pia imepakwa rangi tayari na ina umeme na maji. Inauzwa shilingi milion 70,000,000 kama kiwango cha juu, bargaining ruksa. Piga 0786 046 484. Karibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom