Kitchen party

Kitchen party

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
634
Reaction score
681
Wana jf.......

Hivi kwanin kwenye sendoff wazazi waupande wa kike mara nyingi huwa wanalia ?

Najiulizaga wanalilia nn?.ni furaha .majonzi au wanahofia kwa jinsi mtoto wao atakavyo anza kuchakachuliwa kihalali?

Naombeni mawazo yenu......
 
A mixture of the two!....kwishney!
 
Back
Top Bottom