Vyombo vya Usalama vyawasumbua majeruhi wa tukio la Arusha, hospitalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyombo vya Usalama vyawasumbua majeruhi wa tukio la Arusha, hospitalini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwan mpambanaji, Jan 14, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Polisi na usalama wamekuwa wakiwasumbua majeruhi waliolazwa katika hospitali mbalimbali,habari kutoka ndani ya jeshi hilo zinadai baadhi ya majeruhi wanaelewa vema tukio zima la tarehe 5,hivyo kuwa na wasiwasi na ushahidi wao,na sasa wanajaribu kuwaziba midomo mapema
   
 2. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Sasa si useme wanawasumbuaje. Wanawanyima chakula, wanawachapa viboko, wanawazomeazomea, au wanawafanya nini hasa!??
   
 3. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kwenda kuwahoji kusuhu tukio wakati bado wanaumwa na wao ndio wasababishaji ni usumbufu
   
 4. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wanawatisha,na kuwahoji maswali ya kipumbavu,pia wanawalazimisha kutokuongea na viongozi wa cdm,wagonjwa wana hali mbaya then wanapohojiwa ni usumbufu mkubwa
   
 5. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Na we mtoa mada umechakachua hii habari. Sema kwamba, polisi wanawatisha wasiseme kwamba majereha yao yanatokana na risasi za polisi. Baadhi imebidi wahamishwe hospitali kwa kuhofia usalama wao
   
 6. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  You are right
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa nini lakini? Hili ni jambo zito linalotakiwa waandishi wa habari, wanaharakati na CHADEMA kulimulika haraka na kiundani zaidi.
   
 8. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu wanaweza!!
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wacje wakawachakachua uhai wao kupoteza ushaidi
   
Loading...