Kesi ya daktari wa Michael Jackson | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya daktari wa Michael Jackson

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Jan 15, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Dr Conrad Murray

  Jaji amemwamuru daktari binafsi wa Michael Jackson ashtakiwe kwa kuua bila kukusudia.

  Jaji Michael Pastor alitoa uamuzi huo dhidi ya Dr Conard Murray katika kesi ya awali mjini Los Angeles.

  Waendesha mashtaka walisema kwamba alimgawia dawa ya usingizi yenye sumu iliyochanganywa na dawa nyingine na kushindwa kumhudumia ipasavyo.

  Dr Murray, mwenye umri wa miaka 57, amekana kuhusika na makosa hayo, na kusema hakumgawia Jackson chochote chenye sumu.

  Jaji Pastor ametoa amri hiyo dhidi ya mtaalamu huyo wa moyo katika siku ya sita ya kesi hiyo.

  Pia ameiomba bodi ya utabibu ya California kufuta leseni ya Dr Murray itakayomzuia kufanya kazi kwenye jimbo hilo.

  Dr Murray anakabiliwa na kifungo cha miaka minne gerezani iwapo atapatikana na hatia.

  BBC Swahili - Habari - Kesi ya daktari wa Michael Jackson
   
 2. m

  makeke Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  zungumzia mambo ya maana, bado unaabudu binadamu karne hii? tufuta habari yenye kuleta mabadiliko ya watu kimaendeleo
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  punguza makeke.
   
Loading...