Kikwete alisema mara nyingi "Nataka nikumbukwe"

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,885
6,885
Kikwete alisema anataka akumbukwe, amesema hayo katika nafasi mbalimbali nchini, na kweli sasa ametimiza lengo lake la kutaka akumbukwe.
- Mauaji ya Arusha
- Kuwanadi vinara wa ufisadi majukwani kwamba ni watu safi
- Kukataza walarushwa wasishtakiwe
- Hali ngumu ya maisha ya watanzania badala ya moto wake maisha bora kwa kila mtz
- Mikataba fake mfano wa Richmond na Dowans
- Kufumbia macho mambo mazito mazito yanayogusa hisia za kila mmoja kitaifa na bila kutolea kauli wajibu ambao ni jukumu la mkuu wa nchi kutamka.
Na mengine mengi vigumu kuyaorodhesha, kwani wanajamii forums wataongezea.

Hayo yatamfanya akumbukwe kwani walimtangulia hawakufanya hayo
 
Back
Top Bottom