Media na nguvu ya umma - silaha za ukombozi wa kweli Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Media na nguvu ya umma - silaha za ukombozi wa kweli Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DENYO, Jan 15, 2011.

 1. D

  DENYO JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndugu wanajf nikitathimini kazi ya nguvu ya umma ikishirikiana na media zetu (mwanahalisi, raia mwema, mwananchi, majira, taifa letu, kulikoni, guardian on sunday, itv, star tv, mlimani tv na chanel ten) nadiriki kusema-

  1. Polisi iandae makontena ya mabomu manake ninaona moto wa nguvu ya umma unashika kasi-imeanza arusha na mbeya-kwingine kote moto utawaka.

  2. Haki inayoporwa kila siku na ombwe la uongozi tulionao itarudi kwa nguvu ya umma na media hizo hapo juu

  3. Katiba mpya ndani ya nyumba naiona wazi kabisa

  4. Mafisadi wote kufikishwa mahakamani kwa nguvu ya umma-infact list of shame ya dr slaa itafika mahakamani kwa nguvu ya umma na media hizo

  5. Dowans, iptl, kagoda, meremeta, tangold, pesa iliyoporwa uwanja wa ndege na uchakachuaji wa meya arusha zitafuatiliwa kwa karibu na nguvu ya umma na media.

  Nilifarijika kuona jinsi media ilivyocover tukio la kitaifa arusha na kutupilia mbali mapinduzi daimaaaaaaaaaaaa on 13th jan 2011.

  Nilifurahi kwa kipima joto itv -dowans nguvu ya umma iliongea.

  Ninakiri kuwa zipo media bazazi kama uhuru, habari leo, mtanzania na rai pamoja na radio kadhaa za kinafiki zinajaribu kupunguza kasi ya nguvu ya umma-lakini mwisho wa siku vitachemsha-nguvu ya umma ina uongozi makini kwa lengo la kuikomboa nchi. Nguvu ya umma haiogopi risasi

  media keep it up!
   
 2. M

  Mnyagundu Senior Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpeleke mama yako kwenye maandamano afe ndio tutajua kweli kama nguvu ya umama inafanya kazi!
   
 3. M

  Mnyagundu Senior Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 3, 2008
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpeleke mama yako kwenye maandamano afe ndio tutajua kweli kama nguvu ya umma inafanya kazi! Peleka huko umbea wako mbona hiyo nguvu ya umma haikusaidia mjomba wako Slaa shinde uchaguzi!?
   
 4. j

  junior2008 JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 528
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ndio unaongea upupu! Mpuuzi mkubwa!!!
   
Loading...