Naomba kuulizia nundu ya Makamba usoni kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kuulizia nundu ya Makamba usoni kulikoni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Jan 12, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,996
  Trophy Points: 280
  hivi nundu ya Dr Dr Dr (Fitna, Majungu, Unazi) Makamba usoni inatokana na nini? anayejua jamani maana kama zile kuna mtu alimpachika kipepsi akatoboa paji! Niambieni wajameni mie nataka kuisawazisha....
   
 2. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Hilo ni suala binafsi la mwili wa mtu, labda umuulize mkewe
   
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,996
  Trophy Points: 280
  nimeskia baba nilighathirika tu na maudhi yake...
   
 4. r

  rito Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 13, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  itakua ni mambo ya witchcraft
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 3,996
  Trophy Points: 280
  yaani ina maana watu wa Bumbuli washaanza kumchezea segere hehehe...:Cry:
   
 6. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mm watch out 2endako.
   
 7. czar

  czar JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina shaka na zile sababu zilizomfanya aache ualimu. Kwa mujibu wa Dr Slaa aliwahi mwambia Makamba kuwa asipokuwa mwangalifu na mdomo wake, yeye Dr atasema ni kwa nini aliacha ualimu. Sasa hapo nadhani kuna majibu. (Nahisi tu)
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mshaanza mpaka jadili maumbile ya watu,mnamjaribu mungueee
   
 9. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  We ni head torch ya kuonea uciku
   
 10. k

  kituro Senior Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ule ni urembo tu! mbona kule kwetu tanga ni kitu cha kawaida na hasa unapozidi kupanda kaskazini ndo balaa!. Hamjui ya kuwa Makamba ni mtoto wa kitanga?.
   
 11. n

  nyanungu magena Member

  #11
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  nundu lake linaashilia kuwa anajiandaa kuanza kuvaa msuli maana mshipa huo.
   
 12. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  huenda alipeleka pumba zake kwa wife wake hivyo wife akamkata nako ya uso.
   
 13. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #13
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  inasemekana kuwa alimpa mimba denti wake ndo maana akaacha uticha (tetesi)
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni chombo maalum cha kung'amulia TAARIFA ZA KIINTELIJENSIA popote awapo; ndio maana siku zote hakosi cha kusema juu ya jambo lolote lile.

  Huko nyuma wengine walidhania kwamba huenda ikaka ni HEAD TUMOR kumbe wote walichakachua jawabu. Ticha Dr Makamba huko nyuma alikua ni mcheshi sana ila mpaka leo hii ni MSHARI ajabu na kupitiwa pitiwa kauli kama alivyosema Baba Askofu Mzee Laiser.
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Uzee! Si unajua ukizeeka sana unaota mapembe!
   
 16. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Habari za KiInteligensia zinasema Ubongo hautoshi fuvuni kwa sababu ya kuwa Overworked na mambo ya kijinga sasa kichwa cha pili kinatengenezwa ili kuweza kuhifadhi Intelligensia zote za KiCCM.
   
 17. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  huyo hapa kazi kwenu
   
 18. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Alijigonga mlangoni wakati wa fumanizi baada ya kum-Makambalize denti.
   
 19. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Duh, Kumbe katoka nayo ujanani?
   
 20. MKUNGA

  MKUNGA JF-Expert Member

  #20
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 443
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ajabu ni pale great thinkers tunapojadili uumbaji wa Mungu, kesho tutajadili unene, ufupi, makalio au kove la mtu. Hebu tujadili mapungufu yake kiutendaji na sio alivyoumbwa...
   
Loading...