Othman bosi wa usalama wa taifa na jaji mkuu othman chande ni ndugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Othman bosi wa usalama wa taifa na jaji mkuu othman chande ni ndugu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TANleaks, Jan 11, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. T

  TANleaks Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kukiwa na malalamiko kuwa uteuzi wa Jaji Mkuu Othman Chande haukuzingatia taratibu na heshima za mahakama yaani uhodari wa Jaji na seniority, huku pia kukiwa na madai kuwa uteuzi huo ulishinikizwa na kigezo cha DINI, taarifa za ndani zinaonyesha kuwa Jaji Othman wana undugu wa karibu sana na Bosi wa Usalama wa Taifa Othman. Kumbuka Usalama wa Taifa ndio hupendekeza majina na kutoa maoni kabla ya uteuzi, hali hii inaonyesha kuwepo mazingira ya kubebwa kwa Jaji Othman na nduguye Othman wa Usalama ili kufanikisha mpango wa watu hao wawili kushika vitengo viwili muhimu nchini. Wanajamvi nashusha hizi leaks za Tanzania ili muanze kuchangia.
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Siku njingi walalahoi tulishajua hilo bwashe...
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  I think hii issue ilishaletwa na Mkuu Fareed... Watu tukachangia mpaka tukapata headache...... Search Thread ya Uteuzi wa Huyu bwana by Fareed
   
 4. m

  mchakamchaka2 Senior Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 113
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  hivi kwann udini unaonekana tu pale mwislamu anapoteuliwa kushika nyadhifa kubwa na hauonekani wakati mkristu akiteuliwa, lazima ufike wakati watuy tubadilike kifikra na kuwaangalia watu kwa merit zao.....!
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kumbeeee, basi hafai huyo! tupe hizo habari zako motomoto za kiintelijensia, halafu wee bwana mkali kweli kwa kufukuwa habari, duuhhh, yaani hapa hawa jamaa, wanatufanya wote hatuna akili, kumbe tuna mtu hapa kichwa kweli kweli, endelea kutupa vitu Mkuu.

  Wewe bwana au bibi, jina limekusuit kweli kwa hizi habari za ndaaaani kabisa ulizotupa.
   
 6. c

  chamajani JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bana usilete issue zilizopitwa na wakati-Hawa watu si ndugu bana, mmoja ame-originate Arusha na mwingine Tanga-so toa habari yako ya kizushi
   
 7. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Du kaka.... yaani post yako ya kwanza tu inahusu dini?????

  Lakini yote Kheri karibu Jamvini:peace:
   
 8. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wapi mchakamchaka original wewe ni namba2
   
 9. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  SIdhani kama la undugu ndio ilikua issue kutokana na watu wa ndani ya mchakato huo kudhibitisha kwamba raisi alipelekewa "mafaili" ya majaji watatu ambao ndio wana qualify kwenye hiyo nafasi lakini yeye alijibu "kipindi hiki wakristo wasahau" ndio ukaanza mchakato wa kumtafuta muislam ambaye anaqualify. Majina ya hao majaji watatu waliokua wanatajwa mwanzo yalipatikana kutoka kikao cha majaji kilichofanyika Ngurdoto, baada ya kuambiwa na jaji mkuu wapige kura za siri nani awe jaji mkuu. Yalivyofika kwa Kikwete walikataliwa kwaajili ya dini. So hilo liko wazi sio undugu ulio-influence hii issue.

   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  watajua wao.....................na CDM ikishika hatamu tutawapiga tu chini.
   
 11. T

  The Future. Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naanza kuamini kua kikwete anawaogopa wakristo.
   
 12. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Pumba tupu!!
   
 13. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Source please
   
 14. Ernesto Sheka

  Ernesto Sheka Senior Member

  #14
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Do you know the origins of those two people?There's a reason we don't have a limit on stupidity.
   
 15. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Samahani mkuu itakua ngumu kukueleza kwa undani (jina etc) la Jaji aliyenipa hiyo dokezo nisije nikaharibu kazi za watu. By the way hii inajulikana sana na watu wa mahakama ya rufaa na mahakama kuu kama una mtu unamfahamu anaweza kukueleza what happened kwenye mchakato mzima.
  Ps. Unaweza pia kuongea na watu waliokuwa karibu na mstaafu jaji mkuu watakuambia maana nasikia baada ya kustaafu wanasema mengi hawaogopi tena.

   
 16. K

  Kivia JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  WEWE u mdini kwelikweli, mbona toka uhuru hiyo nafasi wanabadilishana tu wakiristo kama "kigango" na waislam hawajawahi kulalamika. Ndugu zangu mukianza hizo ?! Kumbuka post zote kuu wamehodhi wakristo ila waslam wapo kimya. Msifukue moto uliopoa.
   
 17. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Usiingize mambo ya udini kwenye taaluma wewe. Acha hizo.
   
 18. k

  kada wa ccm Member

  #18
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kikwete kikwete ndio ndio ndio tumpambe maua .....
  Ccm ccm oooh chama cha mapinduzi ccm kiboko yao
   
 19. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Maada kama hii ililetwa hata kabla ya confirmation ya CJ, wakati huo kulikuwa na majina matatu yaliyopelekwa kwa Rais Kikwete na watu wakajua kaka wa mkuu wa usalama ndiye atakuwa CJ
   
 20. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  mmmh sasa sijui tanzania ni nchi ya itikadi gani maana mambo si mambo
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...