Tumeona. Tumepata Somo: Wakati Mwingine Tusichague Rais wa Kujikunyata-Kunyata

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Rais gani?

Nchi inateketea. Amejikunyata tu kama kuku wa mdondo?

Kikwete unaniudhi.

Kweli sikukupigia kura lakini ninaamii hata waliokupa kura wanajuta kimyakimya.

Rais gani unasubiri watu wakuandikie cha kusema kwenye makaratasi ndo useme?

Kama huwezi kuongoza achia ngazi bwana weeeeeeee!!

Urais huuwezi JK achia ngazi!!!
 
Nchi hii haina Raisi, Kunakundi la Wahuni ndio wanamuongoza huyu Ndondocha
 
umeongea mkuu cjui akuelewa maana ya uraisi yy alijua ni raisi raisi tu kama jina lenyewe ovyo na ivyo alivyoshindwa kwa kishindo hope ndio kinamsononesha zaidi mpaka anatia huruma
 
Back
Top Bottom