Nnape akamata meno ya tembo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nnape akamata meno ya tembo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Jan 14, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa wilaya nnape nauye amekamata bus la buffalo lenye nyara za serikali meno ya ndovu likitoka Tunduru kwenda Dar es salaam!
   
 2. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Alinyimwa rushwa? Au!
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Anajenga jina inawezekana alidokezwa kuwa polisi wamekula rushwa mzigo unapitishwa hapa siku fulani....huwa inakuwaga hivyo anajenga jina..ajitahidi sana yule alitakiwa awe mbunge wetu ubungo walahi basi tu alipoenguliwa tukahamia chadema wooote vijana sasa tu chadema nnape nae atarejea chadema soon tunammsubiria
   
 4. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  juzi juzi kamwazibu mzembe kwa kukaidi agizo la kulima heka 1 leo meno ya tembo safi sana nenda na speed hyo
   
 5. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ???????????
   
 6. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 852
  Trophy Points: 280
  wazee wa intelijensia hawakuwa na intelijensia? Mpaka mkuu wa wilaya anawasaidia kazi! intelijensia my foot. . .lol
   
 7. m

  maselef JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Si kazi yake hiyo. Hizo ni sifa ya kijinga
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hii ndo comment ya kijinga.

  Safi sana Nape!
   
Loading...