Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 337
Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao ndio suluhisho kwa dhuluma na hila wanazodai kufanyiwa na Wakristu. Mashekh hawa katika tamko lao walilotoa hawakutoa proposal ya mipaka au namna gani nchi hii igawanywe.
Nawakaribisha wana JF tushauriane jinsi ya kuigawa hii nchi baina ya Waislam na Wakristu. (Najua wakristu wataweza kuwa-accomodate wahindu,wabudha,wapagani na wengine wote wasio waislam kwenye nchi watakayopewa.)