Mbasha Asenga wa MwanaHalisi kama umetumwa ni safari ndefu kufika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbasha Asenga wa MwanaHalisi kama umetumwa ni safari ndefu kufika

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Jan 20, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilisoma moja ya makala ya Mwanahalisi ya jana, mbasha asenga alijaribu kutetea sana dk slaa kuhusu hizi tuhuma za udini. hata mimi napingana na mtazamo wa wengi kama dk slaa ni mdini licha ya kuwa aliwahi kuwa kiongozi mkuu wa kanisa yaani katibu.
  lkn siamini kama watanzania wakemewe eti wakae kimya na wasijadili swala.
  Hoja ya Mbasha eti kwa kuwa dk slaa alikuw mbunge hakuna aliehoji haina mshiko, kwani mbunge anaongoza sehemu ya Bunge, hana mamlaka ya kutumikia taifa zima tofauti na rais, ndio maana hakuna mbunge aliwahi kungolewa kwa maandamano ya umma tofauti na rais.
  sasa swala linapokuja rais wa nchi lazima amulikwe kama alivyomulikwa DK slaa. kwa hivyo mbasha usituzime mdomo, tauchie tumjadili kama anavyojadiliwa jk na udini lkn mbasa amebana kimya.
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  umemnukuu vibaya,hiyo ni tabia ya sisiem,kuwahadaha watanzania hasa kipindi cha uchaguzi,na sio Dr.slaa tu hata Prof.lipumba walimjia na hija za ajabu sana ambazo ziliazishwa na mahita kwa kutumwa na sisiem,kuwa cuf chama cha waislamu,sijui magaidi,wameagiza makontena ya visu ili wamwage damu na mambo mengine mengi,na hatimaye sisiem ikashinda,@muhogomchungu nenda kawaambie sisiem waache kutumia hizo giriba mbaya hasa kipindi cha uchaguzi,demokrasia ya kweli aipo hivyo.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280

  crap.
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  yeye alijaribu kuongelea upotoshaji wenu.ukweli utabaki pale pale kwamba Dr.Slaa si mdini bali ana dini kama wengine.
   
 5. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kuna baadhi ya watanzania wamejaliwa au kwa maneno mengine wanavipaji vya upotoshaji kama muhogomchungu,unaleta mada ambayo aina tija hata kidogo,kila mtu anadini yake,msijaribu kupotosha umma kwa vitu vya ajabu.
   
 6. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ndio maana hakuna mbunge aliwahi kungolewa kwa maandamano ya umma tofauti na rais.

  Kumbe hata muhogomchungu unatambua umuhimu wa maandamano, sasa huyu JK tutamtoa kwa maandamano ya nchi nzima tukianzia ya TUCTA then ya Chadema, anaona nchi haitawaliki basi atoke atupishe wenye nia ya dhati nchi hii...

  Slaa ataendelea kuwapasua vichwa mpaka mwisho...
   
 7. Seto

  Seto JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 961
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  naona umekunywa maji ya bendera ya mafisadi wamekupa akili mgando.
   
 8. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,231
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Jamani hili jambo tunalopanda la udini likimea si aliyelipanda wala asiyelijua atakua salama...tuna busara bado katika kuliangalia hili kwa mapana yake....
   
 9. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #9
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Muhogomchungu kutokana na thread yako unanifanya nikutizame ktk two perspectives ambapo naamini moja itakuwa sahihi. Kwanza, ama una fikra finyu sana kiasi kwamba umeshindwa kuelewa makala ya Asenga iliyoandikwa kwa lugha rahisi sana kwa yeyote mwenye akili ya kawaida kabisa kuelewa.
  Au unatumiwa na mafisadi kujaribu kuupotosha umma kwa makusudi. Be care, coz nguvu ya umma ni kubwa kuliko nguvu ya mafisadi wanaokufuga.
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Crap.....na wewe kama umetumwa ni safari ndefu sana
   
Loading...