Hii mishikaki mpaka lini?

Hii mishikaki mpaka lini?

Jamani sisi wenyewe ndio tunasababisha ajali, kwa style hii ajali na vifo kupungua ni ngumu.
 
Huyo dereva amejifunza in 15 Mins, hana helmet wala abiria wake, Who is to Blame?
1. abiria
2. dereva
3. Polisi
4. Nani??
 
Back
Top Bottom