Mimi huwa nafanya hivi!

Mimi huwa nafanya hivi!

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
17,668
Reaction score
13,280
Ukombozi wa nchi upo mikononi mwetu.

Mimi nimedhamiria na kila wiki lazima nimtumie mzee wangu magazeti ya mwanahalisi na raia mwema na mwananchi ili ajue nchi inavyo endeshwa na kisha tunapiga story kuhusu mustakabali wetu km familia na nchi yetu kwa ujumla.

CCM wanatukana sana walioko vijijivi eti wanasema hayo mnayoyaandika kule vijijivi hawasikii, kukiwa na mijadala ya manufaa lazima niwataarifu pia wasikilize na wajue mitazamo halisi ya watz
 
good move,mtumie na daily news and uhuru.afungue library ndogo watoto wa jirani na kitongoji waje kusoma na kujenga literacy and awareness for the next generation
 
Back
Top Bottom