Nahisi Mh. Kikwete anapanga kujiuzulu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahisi Mh. Kikwete anapanga kujiuzulu...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Steve Dii, Jan 20, 2011.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nimeamua kuandika hivi kwa hisia zangu kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini, haswa kuhusiana na swala la Dowans. Ukimya wake ni moja ya jambo lililonipelekea kuwa na hisia hizi. Pia nina hisi kuna watu wanafanya juu chini katika kumshawishi aendelee kuongoza nchi hali yeye akiwa hapendi hata kidogo kuendelea.

  Source: Mimi na kusoma-soma kwangu magazeti yetu na sredi za JF !!
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kweli kaka
   
 3. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Pamoja na kujua kwako kote sheria na matumizi ya JF, nashangaa kwa nini hujapost hizi hisia zako kwenye jukwaa la utani. SteveDii, huu ni udaku kama sio uzushi.
   
 4. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,831
  Likes Received: 10,143
  Trophy Points: 280
  Lazima apige chini tu...
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni hisia au 'uzushi' unaotokana na jambo lililopo. Swala la Dowans si uzushi wala udaku tena. Kuna wanaohusika na kuna Watanzania tunaoendelea kusota kwa mgao unaotokana na maamuzi ya baadhi ya viongozi wetu. Kujiuzulu kwa kiongozi ni jambo linalotokea. Ni aina ya kuwajibika kwa mwenye kutambua wajibu wake kama kiongozi. Sioni kama ni utani, maana utani unatungwa au kutokea kwa malengo ya kufurahisha. Hili langu ni hisia kutokana na mlolongo wa mambo yaliyopo. Hata hivyo kama sheria ya jamvi inaonekana imevunjwa kwa kuanzisha sredi hii, wala sitolalamika sredi ikiswekwa lupango.
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Itakuwa jambo la busara sna:smile-big:
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Pamoja na maelezo yako mengi, unaonaje kama ukawasiliana na 'wahusika' ili waipeleke hii 'sredi' kwenye jukwaa husika?

   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Steve, hauko mbali sana na ukweli wa mambo yenyewe yanavyozungumzwa mle ndani.
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Was it me who suggested so in first place??
   
 10. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  It not about suggestion, it is about responsibility.
   
 11. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Then won't you take the lead as a pioneer of the concept?!
   
 12. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  This isnt a concept, it is a fact (kwamba umechemka). Kama mkumbusha sheria onyesha uwajibikaji kwa kuwajibika kuondoa kasoro, sio kuwajibikiwa.
   
 13. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,362
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ni kweli mbona alitaka kuindoka ikulu alipoona matokeo ni kinyume na alivyotarajia ,ukizingatia alipita kwa asilimia 90+ ktk uchaguzi wa 2005,iweje this time asilimia kubwa ya watanzania hawamtaki,ukizingatia ni muungwana,aliamua aondoke ikulu mapema kabla ya kutangazwa rasmi,ila Wakuu wa Vitengo na Wenye nchi wakamsihi abakie wao watalifanyia kazi.
  ila sasa akiondoka itabidi aende wapi?ila atakuwa amefanya jambo la Kijasiri Sana,atakuwa amefuata nyayo za Hayati baba Wa Taifa Mwl,kwa kung'atuka.
  Atakumbukwa na kuenziwa na vizazi vingi vijavyo kwa uamuzi mgumu huo.
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuongoza kundi la watu wasiokuamini, wasioafiki lolote utendalo, watu waliokugundua uchafu wote nje, ni kazi ngumu tena zaidi ya kuvuta paka kwa kamba achilia mbali usumbufu wa kondoo katika mazingira kama hayo hayo.

  Hivyo, ni busara zaidi mtu ukaachia ngazi mapema na ukarudisha salama madaraka kwa wenye mali yao mapema. Tofauti na hapo, yeyote anayekushinikiza ukaendelee tu hivo hivo ni adui mkubwa haijawahi kutokea.

  Nasema hivyo kwa maana kwamba pindi unapojilazimisha madarakani mgongoni mwa watu ambao hawakutaki mwihowe UTAJIKUTA UMEUA HALAIKI YA WATU na kujikuta umefungua ukurasa mwingine kabisa na Mungu wako kama muuaji, na zaidi utageuka asusa ya O'Campo kule ICC.

  Kikwete, do the right thing at the right time and place!!!
   
 15. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Humjui Mkwere wewe, Hilo halipo kwa sababu zifuatazo:-

  • Hana haya kabisa usoni kwake, hivyo hilo halimfanyi ajute na kujiona amechemsha!
  • Uroho wa madaralka na mbinu za kujilimbikizia mali, mpango ambao ataufanya kwa miaka yote ya awamu hii ya uongozi
  • Mafisadi hawatamshawishi kwani itakuwa ni pigo kwao, kwa sababu hawatapata wa kuwastahi- mshikaji wao atakuwa nje ya ulingo
  • Deni la Dowans halitalipwa, na i hali yeye kwa tafrisi ya yeye kukaa kimya ni kuwa anataka lilipwe!
   
 16. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Great... finally we're on the same page! Responsibility is a fact - yes. The ramifications of the Dowans saga are a fact of life as we hammer down these posts. Those responsible for it ought to resign if they've an ounce of moral responsibility left in them. Hisia zangu siyo udaku wala joke kulingana na mwono wangu na ndiyo maana nimepost thread kwenye jukwaa hili, maana hisia zinatokana na jambo lililopo na linaloendelea kushika headlines hapa nchini. Aliye suggest ni joke ni wewe, na kama unauhakika ni joke hata baada ya maelezo yangu, kwanini basi usioneshe punje ya responsibility unayoisema kwa kuwataarifu wahusika ili wachukue hatua ipasavyo?!
   
 17. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Hii sio joke, as it is not fun at all. You are trying to escape the nucleus of you 'sredi'. The Dowans' thing is just like a drop in a lake of corruption scandals in Tz. So your 'feelings' of JK stepping down for that reason, is a big joke and lie.

  Please do the needful.
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Jan 20, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Steve Dii my dear friend, are u okay!?
   
 19. CPU

  CPU JF Gold Member

  #19
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mawazo ya mtu sio UDAKU wala UTANI. Kama ingekuwa mawazo ya mtu ni hivyo basi hata waliokuwa na mawazo ya kuanzisha JF wasingefanikiwa, na sote tusingekuwa hapa
   
 20. M

  Mundu JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2011
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Dowans has never been a joke,nor will it be!! The fact that kuna mparaganyiko mkubwa humo Serikali, kila mtu ana haki ya kuzi floatisha hisia zake kama anavyofanya Steve Dii. Na ibaki hapahapa hii sredi. With this Government ya kufikirika, anything can happen!!
   
Loading...