kilichopelekea maandamano tunisia ni kijana kujiwasha moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kilichopelekea maandamano tunisia ni kijana kujiwasha moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Jan 20, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nimesikiliza habari jioni hii bbc kumbe maandamano yalisababishwa na kijana mmoja ambaye askali jiji walimkamata akiwa anauza matunda mitaani na alipofuatilia na kutaka kupewa mzigo wake ndipo walipo mwambia awezi kuonana na gavana na biashara yake hiyo ya matunda awezi kupewa ndipo kijana alipojiona ana haki kwenye nchi yake na ukizingatia maisha magumu ajira akuna kijana wa watu akachukua jukumu la kwenda kununua petrol na kujimwagia na kujiwasha mwili mzima ndipo hasiraa zilipowajaa wananchi na wakaamua kufanya kweli ya kumuondoa raisi wao madarakani kwwa njia nzuri ya maandamano.
   
Loading...