Tarehe 5 January Kila Mwaka Iwe Ni siku Ya Mapunziko Na Maombolezo Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarehe 5 January Kila Mwaka Iwe Ni siku Ya Mapunziko Na Maombolezo Tanzania!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Jan 20, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Habari za leo wana Jamii Forum! Nimekaa kwa muda nikitafakari tokea siku lilipotokea lile tukio lililolikumba nnchi yetu baada ya jeshi la polisi wakisaidiana na mgambo kuzibiti maandamano yaliokua yafanyike kwa amani jijini Arusha kwa wanachama wa chama cha Chadema, lakini serikali ya CCM kwakutumia nguvu ya dola kwa kuwaua raia wasiokua na hatia yoyote na kujeruhi pia japokua wao wanakana kua vurugu zile zilifanywa na wanachama na wafuasi wa Chadema lakini yote ni Mungu atalipa kama ni wanachama wa Chadema walihusika na tukio lile. Kwa mapendekezo yangu ningependekeza kua siku ya tarehe 5 mwezi wa January kila mwaka iwe ni siku ya maombolezo kwa wahanga wote waliopoteza maisha kwa kukutetea maslahi ya chama cha wanachadema hata kwa vyama vyote vya siasa kwakua ile ilikua ni haki ya kimsingi na kidemokrasia kwa wanachama wa vyama vyote ikiwapo hata CCM Kufanya maandamano kwa njia ya amani inaruhusiwa lakini ilijionyesha jinsi jeshi la polisi lilivyokiuka haki za kibinadamu kufanya unyama ule na pia hatutaki yatokee tena katika nchi hii na polisi pamoja na serikali ya CCM wanatakiwa waombe radhi mara moja. Nawasilisha hoja!
   
 2. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Yaonyesha mwezi Januari si mwema kwa wanasiasa na siasa za Tanzania,
  Mauaji ya CUF ilikuwa ni januari,
  Mauaji ya CHADEMA nayo ni januari,
  Sina kumbukumbu ya vita ya KAGERA bayo ilianza mwezi gani,
  NB: Labda mwezi januari uwe ni mwezi wa maombolezo kwa tarehe maalum kwa mauaji yaliyojiri na kuwakumba watanzania wafuasi wa vyama hivyo viwili vya CUF na CHADEMA.
   
 3. M

  Mwera JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ya cuf yalikua januar 21 na 22 kama sikosei,na ya chadema ilikua januar 5,tena mauaji yote haya yalikua ni baada ya uchaguzi,cuf zaid ya watu 40
  waliuwawa,sidhani nawala sitaki kuamini kama serikali iliyochini ya utawala wa ccm inaweza kukubali kufanya maombolezo wakati wao ndio wahusika wamauaji hayo,
   
Loading...