Katika siku za hivi karibuni nimeshuhudia vifuniko ambavyo vinatumika kufunika bia za TBL vikiwa na kutu kwa kiwango kikubwa. Bia ambazo nimekumbana nazo binafsi ni Kilimanjaro na Ndovu ambapo...
Habari wadau,
nauliza hivi juzi kulikuwa na msiba wa mke wa Ben Mengi,sasa ulivyotangazwa kwenye vyombo vya IPP na Raisi wa nchi yetu Kikwete kukatiza shughuli za nchi na kuudhulia je uyu Ben...
Wahusika watajwa, ni Waarabu
Waporomosha maghorofa Kariakoo
Washirikiana na vigogo, maofisa wa TRA
TAARIFA zimekuwa zikimiminika chumba cha habari cha Raia Mwema kuelezea zaidi mtandao wa wizi...
Flavius,yule Myahudi wa Kigiriki,alikuwa haruhusiwi kuingia Hekaluni,kwa vile alikuwa hajatahiriwa na hajabatizwa;pia kwa vile alikuwa mpenzi mkubwa wa vitu vizuri katika sanaa na...
Wadau,
SIku ya mechi kati ya Brazil na Taifa Stars, Klabu ya Yanga ilikuwa na Mkutano Mkuu wa Wanachama. Tarehe ya Mkutano huo iligongana na tarehe ya mechi kati ya Brazil na Taifa Stars...
Leo nimesoma makala murua kutoka kwa mwandishi mahiri wa gazeti la watu makini liitwalo Raia Mwema ndugu Johnson Mbwambo ,hayo makala ni somo tosha kwa wanao itakia mema nchi hii,naomba kwa wale...
Jamani wana jamii forum wenzangu nathamini sana michango yenu na ninajua ina umuhimu mkubwa katika taifa letu....ngoja niwashauri tu jambo moja...mimi ni dada na si kaka tafadhalini tafadhalini...
WATU wanaoaminika kuwa majambazi wamevamia nyumbani kwa Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Omary Yusuf Mzee na kupora gari la mwanae lenye thamani ya Sh12 milioni.
Mbali na kupora gari hilo, watu...
Taarifa za ndani zinadokeza kuwa afisa mmoja wa NSSF (Bw. Kinunda) amejeruhiwa na kulazwa hospitali ya Aga Khan baada ya kupigwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni vibaka huko anakoishi Kimara. Kwa muda...
Ndugu zanguni bado hali ya kuachia mambo yaende hovyo inazidi kushamiri hapa TZ kwa sasa kituo cha daladala pale Mwenge kimegeuka gulio kwani sasa daladala zinabanwa na hata abiria nao hukosa...
MPs are raising questions regarding a Sh59 billion discrepancy in the Budget read by Finance Minister Uhuru Kenyatta.
Chairman of the Budget Committee Elias Mbau raised the matter, saying the...
Jana usiku nilipata taarifa kutoka kwa jamaa yangu mmoja anayeishi Rome, Italy kwamba ndugu yake wa kike aliyekuwa amemwalika kumtembelea pale Roma, alizuiliwa uwanja wa ndege wa Fumicino yeye na...
New revenue source tip-off
By Judica Tarimo
15th June 2010
Tanzanians in diaspora offer hints
Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe
Tanzanians...
Ndugu zanguni labda yawezekana wengi wanaweza kulitetea hili lakini hii ndio hali halizi
wakati watanzania wengi wanasubiri pesa za mshaara mwisho wa mwezi inasemekana
WAH WA EWURA WANAWAJUA...
Jamani sijui niseme nini kuhusu hili tangazo la Zain la kusisitiza ni sh. Moja Tu na Kibonde wa Clouds FM linavyoboa kama nini, likifika tu uwa nabadilisha channel.
Mimi nafikiri hawa Zain...
Nimekuwa nikijiuliza hivi mtu ukiwa Banned ( Kufungiwa) Unajisikiaje, naomba wale wote waliwahi kupewa Ban na Mods watueleze Experince zao hii inaweza kuwasaidia memba wengine wasichezee Sharia za...
Wageni wanaoletwa nchini kufanya kazi kama expatriates ni mbumbumbu wa kutupwa. Eti utamwona mhasibu katoka india hajui hata kazi ya uhasibu huku Cv yake inaonesha ana masters. Kunani huku...
Ndugu zangu Simon Jengo ambaye ni Mzee wa Kanisa Azani Front Cathedral,pili ni mwalimu wa kwaya kuu Azania Front, tatu yuko kwenye kamati ya maandalizi mikutano ya kiroho ya mwalimu Christopher...