Jamani Mke wa Ben Bengi ni nani

Dear

Member
Nov 18, 2009
46
3
Habari wadau,
nauliza hivi juzi kulikuwa na msiba wa mke wa Ben Mengi,sasa ulivyotangazwa kwenye vyombo vya IPP na Raisi wa nchi yetu Kikwete kukatiza shughuli za nchi na kuudhulia je uyu Ben Mengi au Mke wake ni nani katika jamii yetu labda ni mimi tu niko nyumba naomba mnisaidie kwa up-date jamani
 
Sina hakika, lakini nimeona Reg Mengi ndio alikuwa 'msemaji wa familia' ....na kwa mujibu wa Reg Mengi, JK ni rafiki yake/yao. Hiyo ndio connection ninayoiona kwa sasa.
 
Kwa jinsi ninavyo mfahamu raisi wetu ni mtu wa watu na ana marafiki wengi sana, sasa kila msiba utakapokuwa unatokea msiba hivi kweli ni lazima ahudhurie? Hivi akitoa udhuru kuwa ana majukumu mengi na akapeleka mwakilishi si ataeleweka tu? huyu bwana sijui ana malengo gani na nchi hii.
 
Kuna zaidi ya urafiki hapa. Kwa kipindi cha karibuni JK amekuwa zaidi kanda ya kaskazini. Ufunguzi wa tawi la CRDB marangu, Kituo cha polisi pale kibosho, uzinduzi wa KCB Moshi Branch na mazishi ya mke wa Mengi. Ziara zote hizi ni hii hiii kodi ya wananchi. Juzi jumamosi nilikuwa naelekea Arusha kikazi tena ukizingatia kuwa ilikuwa nusu siku hivyo nilitakiwa kuwahi, tulisubiri kwa zaidi ya saa moja kusubiri Mh JK apite ende pale machame kuzika. Magari yalopita pale ni zaidi ya kumi na tano hv. Tena ni yale MaVX meusi yale ya petrol cjui yale. Yanakimbia hayo cjawahi kuona. Kwa harakaharaka nikajiuliza hv huyu watu kama wabunge wa bunge lake wana kufa hajawahi kuhudhuria! Iweje leo tunamwona kwa mke wa rafiki! Kwa gharama za nani? Bado niko gizani
 
Usishangae sana. PAmoja na urafiki wao, lakini Mkuu yupo kwenye kampeni. Si unajua uchaguzi umekaribia na kuna mtu wake alishasema hata kama kilimanjaro watamjima kura, bado atapita kwa kishindo?
Naona mambo yamechachuka baada ya kauli hiyo pamoja na hile ya kura 350'000 za wafanyakazi, sasa mkuu ameona ajirudi ilikuomba kura kwa siri.
 
By the way......hakuna fursa nzuri kukonga nyoyo za watu kama kushirikiana nao katika shida - mazishi /kifo
Siyo kitu cha ajabu sana kipindi hiki kuona watu wa kila aina/wadhifa wakijichanga na wananchi katika shughuli mbalimbali.Wanasiasa wanaweza kuthibitisha hili.
 
Kwa jinsi ninavyo mfahamu raisi wetu ni mtu wa watu na ana marafiki wengi sana, sasa kila msiba utakapokuwa unatokea msiba hivi kweli ni lazima ahudhurie? Hivi akitoa udhuru kuwa ana majukumu mengi na akapeleka mwakilishi si ataeleweka tu? huyu bwana sijui ana malengo gani na nchi hii.

Ni kama vile siku ya msiba Rais alikuwa Kilimanjaro, sasa sijui angetoa udhuru gani? Lakini pia ni vizuri tutambue kwamba Rais, ukiachilia mbali majukumu yake ni social being. Hatakuwa Rais milele utafika wakati atarudi uraiani na atahitaji kampani ya hawa marafiki zake. Kwa hiyo sioni sababu ya kumwandama kiasi hicho. Ninaogopa kukubaliana na wewe kwamba Rais akihudhuria msiba basi hana malengo mazuri na nchi.
 
Naona kila tycoon ni rafiki yake kazi kwelikweli,nategemea hata akina yakhe pia wawe marafiki zake na hao ndio waliomuweka hapo alipo hao ma tycoon zaidi zaidi wanamtumia tu,tunataka tumuone hata kwenye marafiki zake wa Saigon akiwafariji wakifiwa mbona hatumuoni huko
 
Kwa jinsi ninavyo mfahamu raisi wetu ni mtu wa watu na ana marafiki wengi sana, sasa kila msiba utakapokuwa unatokea msiba hivi kweli ni lazima ahudhurie? Hivi akitoa udhuru kuwa ana majukumu mengi na akapeleka mwakilishi si ataeleweka tu? huyu bwana sijui ana malengo gani na nchi hii.
jamaa anapenda sana safari na shughuli,nothing to do na nchi yetu hiyo ni hobby yake.kumbuka ni mzalamu.
 
Back
Top Bottom