Tanzania na Mexico : Simulizi ya nchi mbili

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,837
8,221
Leo nimesoma makala murua kutoka kwa mwandishi mahiri wa gazeti la watu makini liitwalo Raia Mwema ndugu Johnson Mbwambo ,hayo makala ni somo tosha kwa wanao itakia mema nchi hii,naomba kwa wale wataalamu wa mtandao kama wanaweza watuwekee hayo makala hapa JF. Ili wengine nao waweze kuisoma.Pongezi kwa ndugu Mbwambo kwa kuzidi kutuelemisha na kutufumbua macho,sio lazima mtu awe mbunge ndio awe mpambanaji na mtetezi wa wananchi ama kwa hakika akina Mbwambo na wenzake akina Lula,Ulimwengu ni zaidi ya wabunge wetu ambao kwao kitu muhimu ni posho-Aluta Continua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom