Ewura wanahusika na kuchanganya mafuta;asilimia 50 ya shell dar zinachanganywa mafut | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ewura wanahusika na kuchanganya mafuta;asilimia 50 ya shell dar zinachanganywa mafut

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 15, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni labda yawezekana wengi wanaweza kulitetea hili lakini hii ndio hali halizi
  wakati watanzania wengi wanasubiri pesa za mshaara mwisho wa mwezi inasemekana
  WAH WA EWURA WANAWAJUA KABISA WANAOCHANGANYA MAFUTA YA TAA NA PETROL NA DIESEL
  NA WANAPOFIKA NA KUKUTA HILO WANAPOKEA CHAO NA KUAMIA SHELL ZINGINE,,HABARI ZA KUSIKITISHA ZINASEMA KUNA BAADHI YA MA TOP WA EWURA WANA MSHARA WAO KARIBIA KILA SHELL NA HATA PINDI SHEELL HIZO ZINAPOFATWA KUCHEKIWA WAHUSIKA HUPIGA SIMU KWA WAUNGWANA WA EWURA ,NA HIVYO KUAMBIWA HAPO WAONDOKE WAENDE KWINGINE...HILI SWALA LA RAIS KUWEKEWA MAFUTA LIMENIFUTAHISHA SANA ..NILIJUA IPO SIKU YATATOKEA HAYA KAMA WAMEKAA KIMYA NA WANAWALEA..EMBU SIKILIZA KISA HIK
  WAKATI UPELELEZI WA MAGARI YA RAIS KUWEKEWA MAFUTA UKIENDELEA INASEMEKANA MWENYE SHELL WANAENDELEA KUHOJIWA NA KATIKA UTETEZI WAKE AMESEMA YEYE HUTUMIA MAFUTA YA TOTAL SIKU MOJA KABLA TOTAL WALIISHIWA AKAWAPIGIA MOUNT MERU KUMLETEA MAFUTA NA KWELI SIKU HIYO HILO GARI LILIKUWA LIKIENDELEA KUSHUSHA MAFUTA NA SERIKALI ILIPOGIKA IMEAMUA KUWAWEKEA UTEPE NA GARI LA MOUNTMERU LIKIWA NDANI,..HII NI HABARI YA HUZUNI KAMA WEWE UNAISHI ARUSHA MPENDWA HUYU BWANA KILA SEHEMU YA MAFUTA ANAGAWA YEYE SASA KAZI KWENU UKIACHA ZILE VITUO VYAKE VYAKUTOA MAFUTA ANA SUPPLY KWA WENGI TU..WENGINE WANATUMIA MAJIAN YA TOTAL,KUZUGIA HUKU WAKICHUKUA MAFUTA YA HUYU BWANA
  ANYWAY TUSUBIRI UCHUNGUZI BADO UNAENDELEA...POLEN NA WALE VIJANA MLIOWEKWA NDANI SIKU HIYO SI MAPENZI YA SERIKALI N MATAKWA YA BOSI WENU TUSUBIRI HAKI IETENDEKE
   
Loading...