Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,262
- 166,385
Ndugu zangu Simon Jengo ambaye ni Mzee wa Kanisa Azani Front Cathedral,pili ni mwalimu wa kwaya kuu Azania Front, tatu yuko kwenye kamati ya maandalizi mikutano ya kiroho ya mwalimu Christopher Mwakasege, ametolewa jela ambako alikuwa amewekwa mahabusu kwa sababu ambazo hazikuelezwa.