Waliotoka Kifungoni ( Ban) Tunaomba Experince | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliotoka Kifungoni ( Ban) Tunaomba Experince

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Albedo, Jun 15, 2010.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Nimekuwa nikijiuliza hivi mtu ukiwa Banned ( Kufungiwa) Unajisikiaje, naomba wale wote waliwahi kupewa Ban na Mods watueleze Experince zao hii inaweza kuwasaidia memba wengine wasichezee Sharia za JF, vile feel free to tell us if you wish siku moja na wewe ule Ban

  Kwa kuanzia natamani sana nile Ban ya Wiki moja hivi ila naogopa

  Karibuni
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Muombe Mod akupe Ban kwa hiyo week ili uone inakuwaje:ban:
   
 3. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wewe FestiLedione, hivi hujiulizi kwa nini watu wanaogopa Kifo!
   
 4. L

  Lady JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Lol! Usitest kina cha mto na miguu miwili!
   
 5. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Do you or your close friend/friend have any experience?
   
 6. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,937
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Watu wana ID tano mmoja.Ukimbani anakuja kivingine hivyo uchungu wa ban unakuwa hauonekani.Labda hiyo ID ditekta itasaidia.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,503
  Trophy Points: 280
  Naukumbuka nilikula ugali na maharagwe kwa siku tatu mfululizo. Sikupata chansi ya kudumisha mila wala wa kumwaga upupu wangu hapa.

  Tangu siku hiyo namtakia mabaya Invizibo, sijui kwanini hayampati (hili limjamaa litakuwa lichawi asee)
   
Loading...