Kumekuwa na prolonged power cuts sehemu mbalimbali za nchi na miji muhimu. Kwa mfano wiki nzima sehemu kubwa ya dar es salaam imekubwa na katakata ya umeme tokea ahsubuhi mpaka jioni.
Ninapata...
Ndege ndogo Cessna 206(6seater) yenye registation No: 5H-ASA ilianguka jana majira ya saa 10 jioni huko Kisiwani Ukerewe!
Ndege hiyo inasemekana ilikuwa na abiria wawili wenye asili ya Kiasia...
Couple charged in $13 million Nigerian scam
Scheme siphoned money from people who sought work as maids
FORT LAUDERDALE, Fla.
It is a scam so complicated police have to draw a diagram to...
Moto mkubwa umeripika ktk sheli ya mafuta kasulu mjini mida ya saa 12:30 jioni, mpaka sasa hakujawa na taarifa rasmi ni watu wangapi wamekufa au kujeruhiwa ila moto bado uanendelea kuwa japo kasi...
Wadau JF!
Naomba sehemu ya sheria za nchi+TRA zinawahusu(zinazofafanua utaratibu mzima) wale(hasa wanafunzi) wanaopaswa kupatiwa msamaha wa kodi, pindi wanapoingiza vitu vyao nchini...
askofu desmond tutu wa afrika ya kusini na mwanaharakati mahiri aliwahi kusema kuwa,ukipita na ukamwona tembo amemkanyaga panya mkia na ukaulizwa nani kati ya hao wawili ni mwonezi na jibu lako...
Na Angetile Osiah
JUMATATU nilishangaa kusoma habari kubwa kwenye magazeti mbalimbali ikielezea mkakati wa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Kikwete aliyoitoa kwa wafanyabiashara...
Huyu ndg Julian Assange kwa kutamba ameendelea kumwaga taarifa za siri (classified information) kupitia mtandao wao wa Wikileak akidharau maonyo aliyopewa.
Je hatendi kosa? Ikumbukwe kuwa wala...
Jipe raha kaka najua wengi watasema usisikilize watu songa mbele ulichopata kinatossha mkuu mchumba anatosha kazi kumuuliza MUNGU anatoka kwa bwana ama???
WASICHANA 11 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Sokoine Drive jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kufanya biashara ya kujiuza katika maeneo ya wazi.
Mwendesha mashtaka...
Mudhiri Mudhir ambaye alijichafua mwenyewe kwenye sakata la Mkataba wa Buzwagi pale alipolishinikiza Bunge kumsimamisha Zito Kabwe kwa kufichua ufisadi uliokuwa unaendelea serikalini JK bado...
Wapendwa wanajamii, naleta kwenu malalamiko yangu kwa masikitiko makubwa, kuhusu hawa dada zetu wanaojiuza nyakati za usiku. Upelelezi wangu umekamilika ndio maana naleta hoja,hapa Tanga...
Mkuu wa Jeshi hilo, Inpekta wa Polisi (IGP), Said Mwema
Jeshi la polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi dhidi ya kuibuka kwa vitendo vya baadhi ya watu kutumia...
Wasichana 11 wadaiwa kufanya ukahaba Dar Send to a friend Thursday, 21 October 2010 10:16 0diggsdigg
Ndeninsia Lisley, (RCT)
WASICHANA 11 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Jiji la Dar limetawaliwa na udereva wa kihuni (kutofuata sheria) hasa ukiongozwa na madereva wa daladala. Sina uhakika kama hili linatokana na foleni au ni hulka ya madereva wa aina hiyo.
Ni...
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CCM Jakaya Kikwete jana aliendelea kumwaga ahadi kwenye kampeni zake mkoani Lindi, huku akibainisha kuwa tayari ameanza kutekeleza ahadi ya kugawa vyandarua viwili...
Hi, wanajamii.
Nimekuwa nikifikiria kwa siku nyingi, tokea Mwl. J.K.Nyerere atutoke, Mwl aliiacha nchi ikiwa na neema na upendo, hakuna ukabila wala ubaguzi. Kwanini sasa uharibifu unatokea kila...