Ole kwa wanavyuo na wasomi wasaka tonge....

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
askofu desmond tutu wa afrika ya kusini na mwanaharakati mahiri aliwahi kusema kuwa,ukipita na ukamwona tembo amemkanyaga panya mkia na ukaulizwa nani kati ya hao wawili ni mwonezi na jibu lako likawa sijui basi nawe ni sehemu ya uoenezi,mwl nyerere pia alisema,kwa wale waliobahatika kupata elimu ni sawa na mwanakijiji aliyejaliwa chakula na wengine wakakosa kwa hiyo anao wajibu wa kuwasaidia wengine.
my take here:
wasomi,elimu zetu zitukomboe na si kutukomoa,enyi wanachuo na wasomi wengine,tusaidiane haswa wakati huu wa uchaguzi kuleta mabadiliko ya kweli na si kugeuka wasaka tonge
 
niliposema hapa kuwa wasomi munaowaongelea hawaelewi wala kuthamini mnachofanya,kuna waliokuwa hawajaelewa nilisema nini.kama hao ni vyuo vikuu,tusemeje juu ya halaiki wa kigoma?
 
plato ur right,aina hii ya watu wapo hapo chuo.ila tujue kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo
 
Kila mtu anajifikiria yeye mwenyewe, na wengine wanaacha taaluma zao ili kuingia kwenye fani zitakazowapatia manufaa zaidi.
 
mara nyingi wasomi wengi hutarajia tu maisha mazuri pindi wamalizapo masomo ndiyo maana mara nyingi huangalia upepo unavyovuma wakiona ka epa tu basi
 
Back
Top Bottom