Bila ya haya hata kidogo, JK amfyagilia Mudhir Mudhir | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bila ya haya hata kidogo, JK amfyagilia Mudhir Mudhir

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutashubanyuma, Oct 21, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  Mudhiri Mudhir ambaye alijichafua mwenyewe kwenye sakata la Mkataba wa Buzwagi pale alipolishinikiza Bunge kumsimamisha Zito Kabwe kwa kufichua ufisadi uliokuwa unaendelea serikalini JK bado anamwona ni lulu hapa nchini.

  Katika hali ya kuonyesha kiburi kisicho na mwisho, Jk amegangamala kuwapigia debe wagombea wa CCM kama akina Rostam Aziz, Edward Lowassa, Basil Pesambili Mramba na wengineo wengi ambao katika utawala wa Jk walikumbwa na Kashfa nyingi nzito.

  La kushangaza ni pale JK anapoona ili kuua makundi ya chama chake cha mafisadi ni kuwapiga changa kama akina Mudhir ambao siyo wasafi hata kidogo.

  Lakini safari hii, wapigakura tumesema hatudanganyiki...........

  Soma Uhuru ya leo kwa habari za nyongeza kwenye habari hii ingawaje zimeficha ukweli huu nilioutoboa hapa...............
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo dhambi ya mudhihir ni kukemea ukikwaji wa kanuni ya bunge uliofanywa na mbunge?!
   
 3. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  ....eeh hivi gazeti la UHURU bado lipo? maana huwa silionagi kwa wauza magazeti siku nyingi. ofisi ninayofanyia kazi (ya serikali) huwa inanunua magazeti manne kila siku for 5 years now since I joined but not that one (mwananchi, nipashe, daily news, majira na citizen)
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,132
  Trophy Points: 280
  Kwani Mudhihir anagombea tena?
   
 5. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mudhihir....Mudhihir..........Mudhihir Mudhihiiiiiiiiiiiiir................
  nshamkumbuka uyo kiumbe mana alizani atakaa bungeni adi kufa akamweka nje kwa muda mwanaarakati zito lakini akarudi na sasa anagombea tena kigoma.. ila uyomudhihiri ndo kafa KIBUDU
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  wewe binafsi mdhihir amekukosea nini?. Yeye akikosa ubunge wewe unapata nini?. Kama angekuwa mbunge wewe utakosa nini?: kama wewe ndo zinto its fine, kama siyo, jaribu kuwa generous.
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,463
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Muulize mwenyezi Mungu aliyemkata mkono wa kuume...kama adhabu
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,463
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe Zitto alipofukuzwa bungeni ulinufaika nini? Unataka tuwe generous kwa nani sasa? CCM?
   
 9. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kaka huko umeenda mbali
   
 10. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  eeeeh jk tena
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,574
  Likes Received: 18,516
  Trophy Points: 280
  Rutashubanyuma, mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni, kwa vile Uhuru ni gazeti la CCM, wewe ulitegemea nini?, kulishutumu Uhuru kwa kuifagilia CCM ni kuwaonea bure tuu bila sababu, maana kufagilia ndilo jukumu lao.

  Kusema kweli mimi nilishaachaga zamani kulinunua uhuru, ila juzi juzi nilipata surprise ya mwaka, nikiwa mikoa ya Lindi na Mtwara, nikauliza gazeti nambari moja kwa kupendwa huko, nikitarajia kusikia ni Mwananchi na Nipashe, waliponiambia ni Uhuru!...sikuamini ila ndio hali halisi.
   
 12. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hapana, dhambi ya mudhihiri ni kushabikia kutolewa nje mbunge aliyekuwa akipigia kelele mkataba wa kifisadi.
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,463
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Mimi nimejibu hoaja kijembe kwa kijembe...thats all
   
 14. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 853
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Kaaaaazi kwelikweli!!!!!
   
 15. BabaK

  BabaK Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Jun 30, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wewe binafsi mdhihir amekukosea nini?.
  Mdhihir na watu kama yeye wamewakosea watanzania kwa kufikili Tanzania Ya leo itakuwa kama zama za kidumu cha..........Bila kuweka masilahi ya taifa mbele.
  Yeye akikosa ubunge wewe unapata nini?.
  Ni hatua mojawapo mbele ili kulifanya Bunge letu liwe na tija
  Kama angekuwa mbunge wewe utakosa nini?:
  Yeye ni historia kwenye hilo siwezi zungumzia
  kama wewe ndo zinto its fine, kama siyo, jaribu kuwa generous.
  Nadhani wewe ni mjukuu wa mudhi.......
   
 16. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wakuu nasikia Mudhihir hakupata ajali na kupelekea kukwatwa mikono kama ilivyoripotiwa kwenye vyombo vya habari ila alikamatwa aki[NENO BAYA] na mke wa mtu. Justification
  1. Hakuna sehemu nyingine ya mwili iliyoumia sispokuwa sehemu tu ya mkono mmoja
  2. Jeraha lilionekana kama la panga au kitu chenye ncha kali
  3. Hakuna aliyeshuhudia ajali hiyo
  4. Mbona aliwahi kupona sana
  5. nk
   
 17. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  wote waliokatwa mikono na miguu ni laana ya mungu kwa kumkemea zito?
   
 18. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  tuwe generous kwa ubinadamu:mdhihiri ni binadamu na yeye si chama:anapopata janga nilake binafsi na si la chama chake.
   
 19. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  sisherehekei yeye kupata ubunge na wala sisisitiki: ila si utu kufurahia yeye kukatwa mkono.
   
 20. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #20
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  ndio maana sisi tunasema , mtuchague maana UFISADI KWETU MWIKO.
  [​IMG]
   
Loading...